Rosalyn Baxandall

Rosalyn Fraad "Ros" Baxandall (Juni 12, 1939 - Oktoba 13 2015) alikuwa mwanahistoria, mwanaharakati wa Jijini New York nchini Marekani.

Baxandall alizaliwa jijini New York mnamo Juni 12, 1939.[1] Baba yake, Lewis M. Fraad, alikuwa mwenyekiti wa Idara ya madaktari wa watoto katika hospitali ya manispaa ya Bronx, na Dean Msaidizi wa chuo cha tiba cha Albert Einstein.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rosalyn Baxandall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.