Rose Rappoport Moss (amezaliwa 1937) ni mwandishi wa nchini Afrika Kusini.[1][2] Alihamia Amerika mnamo mwaka 1961.[1] Amechapisha riwaya, hadithi fupi, maneno ya muziki.[3] Pia alikuwa mwalimu katika Chuo cha Wellessley.[1] Akiwa pamoja na Barney Simon na Rose Zwi, walikuwa wakijulikana kama waandishi wa mji Johannesburg.[4]
![]() |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rose Moss kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |