“Thank God I Found You” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Mariah Carey akiwashirikisha Joe na 98 Degrees kutoka katika albamu ya Rainbow | |||||
Imetolewa | 1 Novemba 1999 | ||||
Muundo | CD single, cassette single, 7" single, 12" single | ||||
Imerekodiwa | 1999 | ||||
Aina | R&B | ||||
Urefu | 4:17 | ||||
Studio | Columbia Records | ||||
Mtunzi | Mariah Carey, Jimmy Jam and Terry Lewis | ||||
Mtayarishaji | Mariah Carey, Jimmy Jam, Terry Lewis | ||||
Certification | Gold (U.S.) | ||||
Mwenendo wa singles za Mariah Carey | |||||
|
|||||
Mwenendo wa singles za Joe | |||||
|
|||||
Mwenendo wa singles za 98 Degrees | |||||
|
"Thank God I Found You" ni wimbo ulioandikwa na mwanamuziki wa Marekani Mariah Carey akishirikiana na Jimmy Jam na Terry Lewis kwa ajili ya albamu ya Carey ya sita, iliyojulikana kama Rainbow, ambayo imeotoka mwaka 1999. Katika albamu hii, inawajumuisha wanamuziki kama vile Joe na kundi la wavulana la 98 Degrees na ilihamasishwa na mpenzi wa Carey wa kipindi kile ailiyeitwa Luis Miguel. Baada ya wimbo huu, ndipo matatizo ya mahusiano katika yake na mpenzi wakeyalipoanza.Wimbo huu ulitoka kama single ya pili kutoka katika albamu yao iliyotoka mwaka 2000, na kufika katika nafasi ya kwanza nchini Marekani, lakini ulikuwa na mafanikio ya wastani katika nchi nyingine.
"Thank God I Found You" ulifika katika nafasi ya kwanza nchini Marekani katika chati ya Billboard Hot 100 na Hot R&B/Hip-Hop Songs na kumfanya Carey kuwa na rekodi ya kuwa na nyimbo kumi na moja mfululizo kufika katika nafasi ya kwanza mfululizo kuanzia mwaka 1990, tangu kipindi cha wimbo wake wa Vision of Love hadi mwaka 2000.Pia wimbo huu ulikuwa wimbo wa sabini wa R&B kuahi kufika katika nafasi ya kwanza katika chati za muziki. Ulikaa kwa kipindi cha juma moja katik nafasi ya kwanza na baadae kutolewa na wimbo wa "I Knew I Loved You"ulioimbwa na Savage Garden. Shirika la Kurekodi Nyimbo la Marekani la RIAA mwezi Februari mwaka 2000, liliutangaza wimbo huu kuwa na medani ya dhahabu. Wimbo huu ndio ulikuwa wimbo wa mwisho kutoka kwa Carey kufika katika nafasi ya kwanza nchini Marekani, hadi wimbo wa We Belong Together wa mwaka 2005,
U.S. CD Single
U.S. Maxi Single
Chati(2000) | Ilipata nafasi |
---|---|
Australian Singles Chart[1] | 27 |
Belgian Flandres Singles Chart[2] | 36 |
Belgian Wallonia Singles Chart[3] | 23 |
Canadian Singles Chart[4] | 2 |
Dutch Singles Chart[5] | 23 |
French Singles Chart[6] | 28 |
German Singles Chart[7] | 28 |
Irish Singles Chart[8] | 31 |
New Zealand Singles Chart[9] | 34 |
Norwegian Singles Chart[10] | 43 |
Spanish Singles Chart[11] | 6 |
Swedish Singles Chart[12] | 43 |
Swiss Singles Chart[13] | 17 |
UK Singles Chart[14] | 10 |
U.S. Billboard Hot 100 | 1 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 1 |
Wasambazaji | Mauzo | Certification |
---|---|---|
United States | 500,000+ | Gold |
{{cite web}}
: Unknown parameter |=
ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20110914151649/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret=
ignored (help)