“World of Our Own” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westlife | |||||
Imetolewa | UK 18 Februari 2002 14 Mei 2002 | ||||
Muundo | CD single | ||||
Imerekodiwa | 2002 | ||||
Aina | Pop | ||||
Studio | Sony BMG | ||||
Certification | Silver | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
"World of Our Own" ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife, wimbo huu pia ndio umebeba jina la albamu yao ya "World of Our Own". Wimbo huu ulitoka kama single mwaka 2002. Wimbo huu ulitumika katika kituo cha televisheni cha Disney Channel Original Movie katika filamu ya You Wish!. "World of Our Own" ulishika nafasi ya #1 nchini Uingereza na kuwa wimbo wa 10 kutoka katika kundi hili kufikai katika nafasi ya kwanza. Wimbo huu ulishika nafasi ya 40 katika single zilizoongoza kwa mauzo kwa mwaka 2002 nchini Uingereza, kwa kufanikiwa kuuza zaidi ya nakala 200,000
Video ya wimbo huu inawaonesha waimbaji wa kundi hili wakiwa wavalia mavazi ya kihuni. Hadi katika kiitio cha pili, waimbaji hawa walikuwa wamekaa chini ya daraja , baadae wanahamia katika baraza la jumba, na baadae wanaenda katika daraja kwa mara ya pili. Wimbo unaisha kwa mandhari kubadilika kutoka juu ya jengo hadi chini ya daraja ambapo ndipo wimbo huu ulipanzia.
Kuna video nyingine ikiwaonesha wanamuziki wa kundi hili wakiimba katika studio.
Chati | Ilipata nafasi |
---|---|
Australian Singles Chart | 21 |
Austrian Singles Chart | 10 |
Danish Singles Chart | 5 |
Netherlands Singles Chart | 29 |
German Singles Chart | 11 |
Irish Singles Chart | 3 |
Italian Singles Chart | 41 |
Japanese (Tokio Hot 100) | 42 |
New Zealand Singles Chart | 6 |
Norwegian Singles Chart | 13 |
Swedish Singles Chart | 11 |
Swiss Singles Chart | 26 |
UK Singles Chart | 1 |
UK Airplay Chart | 3 |
U.S. Pop Airplay Chart | 41 |
Note: